Uwanja wa michezo wa Dire Dawa

Uwanja wa michezo wa Dire Dawa ni uwanja wenye matumizi mengi uliopo huko Dire Dawa nchini Ethiopia. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu, kwa kiwango cha klabu ya Dire Dawa City ya Ligi Kuu ya Ethiopia. Uwanja huo una uwezo wa watazamaji 18,000.[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-13. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy